Home » Archive for Februari 2015
TANGAZA KUPITIA BLOG HII
Unknown
Alhamisi, Februari 26
Audio:Tudd Thomas afunguka kuhusu ‘Mdogo Mdogo’ ya diamond ilivyomtambulisha Afrika na kupata mafanikio
Unknown
Zitambue zote 17 za mixtape/album ya Drake zilizoingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs
Drake amevunja rekodi baada ya nyimbo zake zote 17 za kwenye mixtape/album ya kushtukiza, If You’re Reading This It’s Too Late kuingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs.
Kwa ujumla Drake anamiliki asilimia 42 ya nyimbo 50 zilizopo kwenye chart hiyo akiwa na jumla ya nyimbo 21.
Tunda Man amshirikisha tena Alikiba kwenye ngoma mpya ya 3
Baada ya kumshirikisha kwenye Msambinungwa, Tunda Man anatarajia kumshirikisha tena Alikiba kwenye ngoma mpya iitwayo ‘Baby’.
IFAHAMU FILAMU YA KIHINDI AMBAYO IMEKOPIWA NA STAA WA BONGO MOVIE JACOB STEVEN(JB)
Unknown
Kwa mara ya kwanza muigizaji na muongozaji mahiri wa filamu nchini ameingia kwenye skendo ya kugeza filamu ya nje na kutengeneza filamu yake iitwayo ‘Mzee wa Swagga’.
DIVA WA CLOUDS KUMLETA ALICIOUS BONGO
Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness maarufu kama Diva, kupitia kampuni yake, Divas Events anatarajia kumleta Tanzania kwa mara ya kwanza msanii mwenye asili ya nchini DRC aishiye Kenya, Alicios Theluji.
Diva alisema kuwa Alicios atatumbuiza kwenye show kubwa aliyoipa jina ‘Usiku wa Sauti’ huku pia wasanii wakali wa Bongo Flava wakihusika.
Pichazzz: Alikiba atinga Tarangire live
Alikiba na timu yake kutoka label ya Rockstar4000 wameitembelea mbuga ya wanyama ya sita kwa ukubwa nchini ya Tarangire, iliyopo mkoani Manyara.
PICHAZZZZZZZ: SAUTI SOL WAITIKISA MWANZA katika JEMBEKA PARTY MWANZA ilikuwa HATARI….!!! ,TAZAMA PICHA
Unknown
Sauti Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA, likiandaliwa na Kituo kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7.
Mashabiki walitoa ushirikiano wa kila htua zilizokuwa zikiendelea stejini.
TUTEGEMEE COLLABLO KATI YA KCEE WA NIGERIA NA MSANII WA BONGO FLEVA KUTOKANA NA PICHA YA PAMOJA.....???
Unknown
Jumatatu, Februari 23
Ukizungumzia miongoni mwa wasanii wa
Tanzania ambao nyimbo zao huchezwa hadi kuingia kwenye Top 10 za radio
Nigeria basi Mkali wa hit single ya Kerewe, Sheta lazima awepo kwenye
list yako.
Shetta ambaye kwasasa yupo Afrika Kusini ameonekana akiwa na mkali wa hit single ya Limpopo, Kcee kwenye maandalizi ya video mpya lakini bado haijajulikana video hiyo inayotengenezwa ni ya nani.
Siku chache zilizopita kupitia instagram, Kcee alipost picha akiwa na Shetta na kuandika;…“Work mode: on set with my bro
KATUNI YA LEO:MCHANA MBELEKO
Unknown
P-UNIT Releases new hit track “DIFFERENT” featuring YEMI ALADE
Unknown
Nairobi 23rd February 2014
…. While their hit track “WEKA WEKA” continues to dominantly feature at
the top of the local charts, two time Channel O award winners P Unit
pace further to take Africa by storm through the release of a new hit
song titled “DIFFERENT” featuring the award-winning Nigerian afro
pop/R&B artiste, song-writer, composer, actress and entertainer Yemi
Alade.
MUONEKANO MPYA WA JOKATE
Unknown
ROCKIES MODELS KUIRUDISHA UPYA HADHI YA MWANZA KATIKA UREMBO:TAZAMA PICHAZ
Unknown
YAMOTO BAND WAITIKISA UINGEREZA
Unknown
BREAKING NEWZZZ:MCHEZAJI WA SIMBA SC AFARIKI DUNIA
Unknown
Jumapili, Februari 22
ukanushi wa ukweli juu ya penzi la Ommy Dimpoz Na wema sepetu
Unknown
HABARI ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Dimpoz ameagizwa na kigogo huyo awe
mpenzi kivuli wa Wema ili kuzuga watu wasishtukie mchezo kama yeye ndiye
anayesukuma gududumu la malovee kwa Madam.
NEWS: PROF. J (@ProfessorJayTz) Atoa siri nyingi ambazo ulikuwa huzijui kati yake na marehemu MEZ B
Unknown
Akiongea
Na Kipindi cha Dundo cha @MamboJamboRadio Kinachoendeshwa na @DjHaazu
na @MwakaD25 Prof. J amesema kuwa Mez b alikuwa kama Mdogo wake na ndio
Maana Aliishi naye Nyumbani kwake na siri Kubwa ambayo Mez B alimpa
Akitambua ni Kaka Yake ni Kwamba ameyatambua Makosa yake aliyowahi
Kuyatenda Nyuma.
YAMOTO WAKIWA LIVE BBC LONDON
Unknown
Haji Makuke (Haji BSS) New Single - BABY LOVE
Unknown
Alhamisi, Februari 19
BIOGRAPHY ya msanii FEMI ONE kutoka NAIROBI-KENYA
Unknown
My name is FemiOne though I was born as
Wanjiku Kimani on April 25, 1994. I am a Kenyan Femcee (female emcee),
Musician and Actress. I began rapping at 14 while in High School. After
High School I joined Chuo Records where I recorded my first few songs.
That is where I have recorded my first single, Maumbile. I am currently
signed to Kaka Empire.
Madee - Paulina ( Official Video )
Unknown
Jumatano, Februari 18
Y_Tony-Mama_Yangu_Ft_Barnabas
Unknown
JUX_-_Nikuite_Nani
Unknown
NEW VIDEO :VANESSA MDEE FT BARNABA(DIRECTED BY HANSCANA) COMING SOON,TAZAMA HAPA KIPANDE CHA VIDEO
Unknown
Jumatatu, Februari 16
PRODUCER DUPY WA UPRISE MUSIC AJIPA TANO KUFANYA KAZI NA MASTER J
Unknown
MWAANDAAJI wa muziki anayekuja kwa kasi katika gemu ya muziki wa kizazi kipya nchini,James Lilai maarufu kama Dupy amekiri kukua kimuziki kutokana na kufanya kazi kwa kushirikiana na nguli wa uandaaji wa muziki nchini,Master J
Producer Dupy |
Akizungumza na MUZIKI BEGANI,alisema anajisikia mwenye furaha na amani moyoni mwake na ambaye kipaji chake kimeimarika kutokana na kufanya kazi na mkongwe huyo katika soko la muziki nchini .
producer Dupy akiwa na Legendary Master J
Dupy alivuma kwa kutengeneza vibao kibao zilizotamba katika vyombo mbalimbali vya habari nchini kutoka katika studio yake vikiwemo,Tumoghele,haina kufeli,mr christmass na kidawa zote za Izzo Bizness,lango la jiji ya stamina, wimbo wa msanii young kacha na stuggling na Myself
wimbo mpya wa izzo bizness ft shaa uliotengenezwa na waandaaji hao wawili
Picha za mazishi ya mke wa JOHN KITIME kwenye makaburi ya Kinondoni ziko hapa
Unknown
Pichani ni Dada Nyota Waziri akimfariji
Bw. John Kitime mara baada ya mazishi ya mkewe kwenye makaburi ya
Kinondoni,jijini Dar es salaam.
Pichani kulia ni Anko Kidevu akimfariji rafiki yake Bw. John Kitime.
Mkasi | S11E08 With Ben Pol - Extended Version
Unknown
Bernard Michael Paul Mnyang'nga, au BEN POL kwa wengi wenu ni mmoja kati
ya wana R&B wa kitanzania mwenye sauti ya Kipekee! Mmemsikia hivi
karibuni katika nyimbo kama Unanichora na mpya kabisa ya Sophia, lakini
Ben Pol ana nyimbo nyingi ambazo zimemfanya asimame kipekee kama "male
vocalist" wa aina yake Tanzania.
LADY JAYDEE,AMTAJA NA MPENZI WAKE MPYA ALIPOKUWA AKIJIBU MWASWALI 9 ALIYOULIZWA,SOMA HAPA ZAIDI
Unknown
Baada ya
kutangaza kuwa kwa sasa yuko single, miongoni mwa maswali ambayo Lady
Jaydee amekutana nayo ni kuhusu sifa za mwanaume ambaye anamtaka awe
mpenzi wake kwa sasa.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)