MSANII wa muziki wa
kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Beenz amepata dhamana mapema hii leo
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu
zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa
hajakamilisha taratibu hizo.
(Habari/Picha kwa hisani ya DENIS MTIMA kutoka GPL)
UNADHANI CHIDI BEENZ KUNA FUNDISHO LOLOTE ALILOPATA BAADA YA KUTOLEWA LEO NA KURUDI URAHIANI.
0 Response to "UNADHANI CHIDI BEENZ KUNA FUNDISHO LOLOTE ALILOPATA BAADA YA KUTOLEWA LEO KWA DHAMANA??"
Chapisha Maoni