UJIO MPYA WA Y TONY WATEKA WATU WENYE AKILI ZAO"TAZAMA VIDEO CHINI"

UJIO MPYA WA Y TONY WATEKA WATU WENYE AKILI ZAO"TAZAMA VIDEO CHINI"


DSC_0005
Msanii heri michael kilema a.k.a Y tony aliewahi kutamba na ngoma zake kama masebene na my shitobe ametoa ngoma yake mpya ambayo imeanza kuzua gumzo tanzania na nje ya tanzania aliomshirikisha barnabas ngoma inaitwa Mama
Ngoma hiyo inayozungumzia mtoto akimwambia mama yake hasidai talaka kwa mana akiachika wao watapata tabu na kulelewa na mambo wa kambo .. kwa mana wanayaona matukio mengi ya mama wa kambo akiwatesa watoto wa jirani kwa kuwachoma moto na kuwatesa…
Wamesikika watu wazima mbalimbali wakimzungumzia y tony. katika nyimbo kali ambazo ameimba na hii imo kwa mana ujumbe wake ni mzuri na unafundisha jamii na kuelimisha jamii yetu.. maudhui pia ya video katika wimbo huu ndio tishio kabisa video ni kali sana inaendana na matukio yanayoimbwa.
angali na video ya wimbo huo hapa chini.
NEW VIDEO -BONGO ALL SUPER STARS--TOKOMEZA ZIRO

NEW VIDEO -BONGO ALL SUPER STARS--TOKOMEZA ZIRO

COVER PAGE 1
Wasanii maarufu wa muziki nchini wanaoguswa na hali ya elimu nchini Tanzania wameachilia video ya kipekee ya wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuelimisha, kuburudisha na kuitaka jamii nzima kuipa kipaumbele sekta ya elimu. Wimbo huo umeimbwa na Mwasiti, Linah, Roma, Stamina, Maunda Zorro, Peter Msechu, Mwana FA, Linex, Keisha, Diamond, Kala Jeremiah.
NEW VIDEO: Wiista  – NAIYE (Official Music Video)

NEW VIDEO: Wiista – NAIYE (Official Music Video)


Wiista - NAIYE Video
Msanii Wiista aliyejulikana kwa wengi kama member wa tatu wa Navy Kenzo, kabla ya kujitoa kwenye kundi hilo mwishoni mwa mwaka jana ameachia rasmi leo video yake ya kwanza ya wimbo wake kwanza kama msanii solo iitwayo NAIYE, Video hii imeongozwa na Abas Adam na kusimamiwa na NGOMA Entertainment.