Audio:Tudd Thomas afunguka kuhusu ‘Mdogo Mdogo’ ya diamond ilivyomtambulisha Afrika na kupata mafanikio




http://1.bp.blogspot.com/-KSK3BBCZYTA/U8nzkVHguOI/AAAAAAAAJSM/gr-5xtYksfs/s1600/tudy.jpg
Zitambue  zote 17 za mixtape/album ya Drake zilizoingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs

Zitambue zote 17 za mixtape/album ya Drake zilizoingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs


Drake amevunja rekodi baada ya nyimbo zake zote 17 za kwenye mixtape/album ya kushtukiza, If You’re Reading This It’s Too Late kuingia kwenye chart ya Billboard R&B/Hip-Hop Songs.
Kwa ujumla Drake anamiliki asilimia 42 ya nyimbo 50 zilizopo kwenye chart hiyo akiwa na jumla ya nyimbo 21.
DIVA WA CLOUDS KUMLETA ALICIOUS BONGO

DIVA WA CLOUDS KUMLETA ALICIOUS BONGO



http://muzikibegani.blogspot.com/ Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness maarufu kama Diva, kupitia kampuni yake, Divas Events anatarajia kumleta Tanzania kwa mara ya kwanza msanii mwenye asili ya nchini DRC aishiye Kenya, Alicios Theluji.

Diva alisema   kuwa Alicios atatumbuiza kwenye show kubwa aliyoipa jina ‘Usiku wa Sauti’ huku pia wasanii wakali wa Bongo Flava wakihusika.
DAVIDO AGOMA KUFANYA KAZI NA WASANII MWAKA HUU

DAVIDO AGOMA KUFANYA KAZI NA WASANII MWAKA HUU


davido
Davido ameweka wazi kuwa mwaka huu hatafanya collabo na msanii yeyote awe anayechipukia au A-List.
Meneja wa staa huyo Kamal Ajiboye, amesema kuwa Davido amekuwa akipokea maombi mengi ya wasanii wakubwa na wadogo wakitaka kufanya naye collabo tokea mwaka huu umeanza na zote amezikata.

PICHAZZZZZZZ: SAUTI SOL WAITIKISA MWANZA katika JEMBEKA PARTY MWANZA ilikuwa HATARI….!!! ,TAZAMA PICHA




Sauti Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA, likiandaliwa na Kituo kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7.



Mashabiki walitoa ushirikiano wa kila htua zilizokuwa zikiendelea stejini.

NEW AUDIO :CJAMOKER FT MABESTE-GOOD TIME


TUTEGEMEE COLLABLO KATI YA KCEE WA NIGERIA NA MSANII WA BONGO FLEVA KUTOKANA NA PICHA YA PAMOJA.....???

TUTEGEMEE COLLABLO KATI YA KCEE WA NIGERIA NA MSANII WA BONGO FLEVA KUTOKANA NA PICHA YA PAMOJA.....???

 .
Ukizungumzia miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao nyimbo zao huchezwa hadi kuingia kwenye Top 10 za radio Nigeria basi Mkali wa hit single ya Kerewe, Sheta lazima awepo kwenye list yako.
Shetta ambaye kwasasa yupo Afrika Kusini ameonekana akiwa na mkali wa hit single ya Limpopo, Kcee kwenye maandalizi ya video mpya lakini bado haijajulikana  video hiyo inayotengenezwa ni ya nani.
Siku chache zilizopita kupitia instagram, Kcee alipost picha akiwa na Shetta na kuandika;…“Work mode: on set with my bro
 P-UNIT  Releases new hit track โ€œDIFFERENTโ€ featuring YEMI ALADE

P-UNIT Releases new hit track “DIFFERENT” featuring YEMI ALADE

B-g974UCAAAW9v4

Nairobi 23rd February 2014 …. While their hit track “WEKA WEKA” continues to dominantly feature at the top of the local charts, two time Channel O award winners P Unit pace further to take Africa by storm through the release of a new hit song titled “DIFFERENT” featuring the award-winning Nigerian afro pop/R&B artiste, song-writer, composer, actress and entertainer Yemi Alade.

ROCKIES MODELS KUIRUDISHA UPYA HADHI YA MWANZA KATIKA UREMBO:TAZAMA PICHAZ

BREAKING NEWZZZ:MCHEZAJI WA SIMBA SC AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa kiungo wa timu ya Simba SC Christopher Alex Masawe amefariki dunia leo saa 3 Asubuhi katika hospitali ya Milembe mkoani Dodoma baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Kwa mujibu wa mama yake mzazi aliyekuwa akimuuguza, maziko yatafanyika keshokutwa siku ya Jumanne.

ukanushi wa ukweli juu ya penzi la Ommy Dimpoz Na wema sepetu

HABARI ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono.


Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Dimpoz ameagizwa na kigogo huyo awe mpenzi kivuli wa Wema ili kuzuga watu wasishtukie mchezo kama yeye ndiye anayesukuma gududumu la malovee kwa Madam.
NEWS: PROF. J (@ProfessorJayTz) Atoa siri nyingi ambazo ulikuwa huzijui kati yake na marehemu MEZ B

NEWS: PROF. J (@ProfessorJayTz) Atoa siri nyingi ambazo ulikuwa huzijui kati yake na marehemu MEZ B

DSC_0133
Akiongea Na Kipindi cha Dundo cha @MamboJamboRadio Kinachoendeshwa na @DjHaazu na @MwakaD25 Prof. J amesema kuwa Mez b alikuwa kama Mdogo wake na ndio Maana Aliishi naye Nyumbani kwake na siri Kubwa ambayo Mez B alimpa Akitambua ni Kaka Yake ni Kwamba ameyatambua Makosa yake aliyowahi Kuyatenda Nyuma.
BIOGRAPHY ya msanii FEMI ONE  kutoka NAIROBI-KENYA

BIOGRAPHY ya msanii FEMI ONE kutoka NAIROBI-KENYA


10950328_893855987312917_343839519_n
My name is FemiOne though I was born as Wanjiku Kimani on April 25, 1994. I am a Kenyan Femcee (female emcee), Musician and Actress. I began rapping at 14 while in High School. After High School I joined Chuo Records where I recorded my first few songs. That is where I have recorded my first single, Maumbile. I am currently signed to  Kaka Empire.
10983700_1546887448913691_812827670_n
NEW VIDEO :VANESSA MDEE FT BARNABA(DIRECTED BY HANSCANA) COMING SOON,TAZAMA HAPA KIPANDE CHA VIDEO

NEW VIDEO :VANESSA MDEE FT BARNABA(DIRECTED BY HANSCANA) COMING SOON,TAZAMA HAPA KIPANDE CHA VIDEO



PRODUCER DUPY WA UPRISE MUSIC AJIPA TANO KUFANYA KAZI NA MASTER J

MWAANDAAJI wa muziki anayekuja kwa kasi katika gemu ya muziki wa kizazi kipya nchini,James Lilai maarufu kama Dupy amekiri kukua kimuziki kutokana na kufanya kazi kwa kushirikiana na nguli wa uandaaji wa muziki nchini,Master J
Producer Dupy

Akizungumza na MUZIKI BEGANI,alisema anajisikia mwenye furaha na amani moyoni mwake na ambaye kipaji chake kimeimarika kutokana na kufanya kazi na mkongwe huyo katika soko la muziki nchini .

producer Dupy  akiwa na Legendary Master J
Dupy alivuma kwa kutengeneza vibao kibao zilizotamba katika vyombo mbalimbali vya habari nchini kutoka katika studio yake vikiwemo,Tumoghele,haina kufeli,mr christmass na kidawa zote za Izzo Bizness,lango la jiji ya stamina, wimbo wa msanii young kacha na stuggling na Myself
              wimbo mpya wa izzo bizness ft shaa uliotengenezwa na waandaaji hao wawili
Picha za mazishi ya mke wa JOHN KITIME kwenye makaburi ya Kinondoni ziko hapa

Picha za mazishi ya mke wa JOHN KITIME kwenye makaburi ya Kinondoni ziko hapa


DSC_0075
Pichani ni Dada Nyota Waziri akimfariji Bw. John Kitime mara baada ya mazishi ya mkewe kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
DSC_0078
Pichani kulia ni Anko Kidevu akimfariji rafiki yake Bw. John Kitime.

Mkasi | S11E08 With Ben Pol - Extended Version

Bernard Michael Paul Mnyang'nga, au BEN POL kwa wengi wenu ni mmoja kati ya wana R&B wa kitanzania mwenye sauti ya Kipekee! Mmemsikia hivi karibuni katika nyimbo kama Unanichora na mpya kabisa ya Sophia, lakini Ben Pol ana nyimbo nyingi ambazo zimemfanya asimame kipekee kama "male vocalist" wa aina yake Tanzania.

LADY JAYDEE,AMTAJA NA MPENZI WAKE MPYA ALIPOKUWA AKIJIBU MWASWALI 9 ALIYOULIZWA,SOMA HAPA ZAIDI

Baada ya kutangaza kuwa kwa sasa yuko single, miongoni mwa maswali ambayo Lady Jaydee amekutana nayo ni kuhusu sifa za mwanaume ambaye anamtaka awe mpenzi wake kwa sasa.