Hili ndio gari jipya la Diamond Platnum

Katika interview mbili nimewahi kumsikia Diamond Platnumz akitoa msemo mmoja unaofanana lakini katika hizo interview mbili tofauti, akitabasamu alisema ‘kama nafanya kazi kwa bidii ni lazima niishi vizuri pia, nipate ninavyotaka’
Kwa hii picha ya gari aliyopost Diamond kwenye instagram labda ndio anaendelea kutimiza ndoto zake? japokua hakuandika chochote baada ya kuiweka picha hii ya gari jipya lisilo na namba, baadhi ya mashabiki wameanza kumpongeza ila bado millardayo.com inaendelea kumtafuta ili tupate uhakika kama ndio mkoko wake mpya.
diamond 2 comments