KONA YA WACHUMBA ,WAPENZI NA MARAFIKI:TAFUTA RAFIKI,MCHUMBA AU MPENZI KUPITIA UKURASA H

ANDIKA SIFA ZA MPENZI/RAFIKI/MCHUMBA UMTAKAYE BILA KUSAHAU MAWASILIANO YAKO UTAMPATA NA KUFURAHIA MAISHA
TUMA DETAIL ZAKO KWENYE UKURASA WETU WA FACEBOOK..https://www.facebook.com/MARAFIKILEO
AU EMAIL:muzikibegani@gmail.com
AU PIGA
0715-577805
  1. JOSE WA IRINGA NATAFUTA MCHUMBA MIAKA 20 KUSHUKA CHINI NAMBA YANGU NI 0767385929

  2. naitaji mpenzi wa kike umri wowote email yangu ni
    rnoel1984@gmail.com
    Reply
  3. Nahitaji Mchumba ambaye atakuwa mke wangu, nina miaka 26, Mrefu kiasi, maji ya kunde, sijawahi kuoa wala sina mtoto, situmii kilevi chochote na sina mpango wa kutumia maisha yangu yote, nina elimu ya chuo kikuu, kazi nitakuambia baada ya kuwasiliana.
    Niko serious hivyo nawe uwe serious kama unatania samahani tusisumbuane.
    Mimi ni mpare halisi kwa hiyo awe tayari kupanda milima ya upare japo kwa sasa niko Arusha.

    Sifa zake (Msichana)
    Awe mrefu kiasi kama mimi futi 4 na nusu hadi tano
    Awe mcha mungu
    Mtanzania
    Rangi yoyote ila asiwe mweusi kama mkaa, weupe wa mkorogo sitaki.
    Awe hajawahi kuolewa
    Asiwe na mtoto
    Kabila lolote
    Awe na tabia njema
    Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea
    Mchapa kazi
    Awe tayari kuwa na familia ya watoto wawili tu.
    Awe Mkristo
    Anitafute kwa email hii, mpareoriginal@gmail.com, baada ya kunitumia ujumbe kwa e-mail nitampa namba yangu ya sim
    Reply
  4. EVARISTO kutoka Dar.Natafuta mke contact 0719 952290

8 Responses to "KONA YA WACHUMBA ,WAPENZI NA MARAFIKI:TAFUTA RAFIKI,MCHUMBA AU MPENZI KUPITIA UKURASA H"

  1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
    Majibu
    1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

      Futa
    2. Naitwa Axel Christopher Bahoze Wa Kasulu Kigoma Natafuta Marafiki Sichagui Jinsia Napatikana Kwa
      abahoze@gmail.com
      0755 528 010

      Futa
  2. naitwa Ibrahim nipo DAR nina miaka 25 elimu yangu ni N.T.A LEVEL 4 OF JOURNALISM pia ni fundi umeme,rangi na ujenzi

    natafuta mpenzi kwa maandalizi ya kuwa mke wangu baadae
    mwenye sifa zifuatazo
    1.awe mpole,msikivu,na mnyenyekevu
    2.kabila lolote
    3.awe muislam au awe tayar kubadili Dini
    4.asiwe na tamaa
    5.aliye tayari kuishi maisha yoyote [shida na raha]
    6.mwenye upendo wa dhati
    7.anaejua kudeka
    8.awe DAR au awezae kufika Dar
    9.Awe mwembamba wastani asiwe mnene sana
    10.asiwe na mtoto na hajawahi kuolewa
    nipo serious kama upo tayari nitafute kwa no hizi
    0717091414
    0687318882 au
    mhinajuma241@gmail.com

    JibuFuta
  3. Mimi ni Black Rambo kutoka Grammy, ninafanya kazi katika Kambi ya Grammy, mke wangu alifariki mwaka 6 iliyopita na tangu nimekuwa nikimtunza mwanangu pekee aitwaye Clinton, rafiki yangu wa ushauri wangu wa kumtafuta mke, kwenye upekuzi wangu nilikutana na Jennifer alikuwa na mwanamke wa Kiingereza, Nilimpenda sana kiasi kwamba ningeweza kumpa kila kitu alichokuwa na umri wa miaka 37, baada ya muda fulani wa uchumba nilikuwa na mapenzi sana naye, tulikuwa na kutokuelewana, na alivunja na mimi na ninamsihi arudi mwanangu aitwaye alisema Hapana, kwamba amempata mtu mwingine, na tunapendana sana baada ya siku kadhaa nilisoma makala kuhusu jinsi Dk Lomin anaweza kusaidiana , Niliamua kutoa jaribu, nawasiliana na Dk Lomi kwa msaada aliniambia nini cha kufanya ili kumrudisha mpenzi wangu niliyefanya, alifanya maombi na Jennifer alikuwa nyuma ananipenda na kunithamini zaidi sasa, na tuna wakati mzuri wa maisha yetu, Dk Lomi pia kuandaa baadhi ya mimea ya asili ambayo imenifanya niwe na nguvu na afya tena sasa nahisi kama kijana niliyemridhisha vizuri sana sisi sote tuna furaha, wasiliana na Dk Lomi kwenye WhatsApp namba +2349034287285 au barua pepe yake kwenye lomiultimatetemple@gmail.com ANA SULUHISHO BORA KWAKO.

    JibuFuta
  4. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  5. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  6. Hello Tanzania. I'm Kenneth Dc,I'm 30yrs old from Dar es salaam, Tanzania , I'm a single man looking for a long commitment from a black African queen, sizeable, loyal, trustworthy, honest, passionate, Caring, Understanding, And God fearing, Humble and friendly,ready to relocate,should be aged 20 to 33.Blood test is compulsory,if Interested in Me, You can reach me Via WhatsApp Number On 0684246940.

    JibuFuta