dullah man ft mr blue&darasa-mambo yaendelee(mistari)


Verse 1-dullah man
Tifua tufu nikutifue mpenda bifu,wasifu na nyaraka tungo zao zishakifu,nafaka za haraka,baraka za majivu,hizi mbivu zimechacha ndani ya muda timilifu,kapteni sikwepeki kama uozo na wafu,siyo ka Temeke rasta wanakula ndafu,supu muhimu kwa mlevi siyo mvutaji,mungu nisamehe nguruwe kwa shehe si tamtoa zawadi,mwanga umewaka ila kwa nguvu za gizani,si mwingine omba taraka utachoma mkuki wa kifuani,kwa hizi tungo raia watafeel,muziki hauna mwenyewe kitaani umeshakuwa dili,tungo mbio kama ngasa ndani ya dimba,gemu ingekuwa kilio watoto wadogo wangetushinda.
          Chorus-mr blue
Wacha mambo yetu yote yaendelee,marafiki wazandiki wasisogee,wacha flag yetu,mbele ipepee,siyo rahisi kuishusha chini aiseee..

Darasa behind the mic,siko peke yangu na machizi zaidi ya laki,huku kimenuka ita jamaa wa kaki,kiwango kimeshuka ila jamaa hawataki,hii ni barua ya uchumba kwa binti kiruka njia,hili ni saga lenye lumba na mengi ya kusikia,darasa ndani ya nyumba ka chumba cha kupikia,kila beat inavyodunda kuna kitu inanihadithia,maisha za safari na hatuna hata ticket,baridi kali na hatuna hata majaketi,mi nakupa ila don’t tell,cornel next door kuna dada 4sale,pigia five 0,jambazi naenda bank,rapper mwenye controlya kucheza na kitenesi,nakukalisha benchi hadi kwenye friend mechi,kila navyopigana nazidi kupanda weight
Classic.
                Chorus






0 Response to "dullah man ft mr blue&darasa-mambo yaendelee(mistari)"

Chapisha Maoni