Picha: Muonekano mpya wa Rick Ross umewa-surprise wengi baada ya kupungua mwili zaidi ya kg 45

rick-ross-weightloss-22
Boss wa MMG Rick Ross yuko kwenye programu ya kupunguza mwili, na picha zake mpya alizoshare Instagram hivi karibuni zimeonesha mabadiliko makubwa ya mwili wake tofauti na alivyozoeleka. Kwa mujibu wa ripoti Rozay amefanikiwa kupungua zaidi ya Kg 45.
rick-ross-weightloss-11
April mwaka huu rapper huyo aliiambia 93.9 WKYS FM kuwa muda umefika wa yeye kupungua mwili kidogo japo hana idadi kamili ya uzito anaota kufikia.
rick-ross-weightloss-22
“It was just time for me to tighten up a little bit, you know what I’m saying. As far as, you know, me working out…I have no destination, no specific weight.” Alisema
Rick Ross Muonekano wa Rozay kabla hajapungua
“And also, you know, I’ve been doing this CrossFit thing, you know, shout-out to Reebok, we had started doing that, you know, last year, sometime and you know, it’s just catching up a little bit.”Aliongeza

0 Response to "Picha: Muonekano mpya wa Rick Ross umewa-surprise wengi baada ya kupungua mwili zaidi ya kg 45"

Chapisha Maoni