Godzilla amefunguka kinachoendela kati yake na Bill Nas

Godzilla amefunguka kinachoendela kati yake na Bill Nas



Kumekuwa na mijadala mingi mitaani na kwenye mitandao kuwa huenda rapper Godzilla hapatani na rapper Bill nas kwa kile kinachodaiwa rapper huyo (Bill Nas) kuiga staili ya Godzilla kitu ambacho kimefanya Godzilla apotee kwenye game.
Akihojiwa kwenye kipindi cha funiko base cha radio 5 Godzilla amesema hakuna ugomvi wowote kati yake na Bill Nas na kama Bill Nas anahisi kuna tatizo basi litakuwa ni tatizo lake.
Nothing is going on,it is just music,nothing personal.” alisema Godzilla,alipoulizwa mbona Bill Nas anadai unam mind alisema “Hilo litakuwa tatizo lake“.na alipoambiwa amwambie Bill Nas neno moja Zilla alijibu “Mimi nawaambia tu mashabiki wangu waendelee kusapoti muziki wangu,I always talk to the fans not about people” alifunguka Godzilla
.