TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO

 Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba mjini Morogoro.

Tuo8January ni kampeni maalum iliyozinduliwa hivi karibuni ikiwa na lengo la kuwahamasisha vijana kujitokeza kushiriki mchakato wa uchaguzi  wa viongozi mbalimbali wanaowataka na wanaowaamini wana uwezo wa kuleta mabadiliko ya kinidhamu kwenye masuala ya msingi ya Taifa letu.

NICKK WA PILI:MSANII NYOTA WA HIP HOP NCHINI,NI MWANAMUZIKI MSOMI,AMESHIRIKI KATIKA FURSA MBALIMBALI ZA KIJAMII NA KUTOA HITS SONGS KIBAO NA ANAMKUBALI ZAIDI JOH MAKINI NA JAY Z



Akizungumza katika moja ya fursa ya kijamii  nchini

MAFANIKIO siku zote huanza kujengwa na fikra zilizo imara ndicho kitu kinachomfanya Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini kutoka katika kundi la weusi,Nickson Saimoni maarufu kama 'Nickk Wa Pili' kuzidi kuwa nyota inayong'ara kwa wasanii wengine nchini.

Kama ilivyowazi kuwa msanii huyu ni msomi ambaye amefanikiwa kushiriki katika fursa mbalimbali za kijamii ambazo anaamini zimechangia kumkuza zaidi kiakili na kutambua uhalisia wa maisha ya mtanzania kuliko alivyosoma darasani.
Baada ya kumaliza elimu ya shahada katika chuo kikuu cha Dar es salaam

PRODUCER HEDY MO AWATAKA MASHABIKI WA MUZIKI NCHINI WAMPOKEE

Producer chipukizi anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini,Hemed Moshi maarufu kama Hedy Mo amewataka mashabiki wa muziki nchini kumpokea katika tasnia hiyo.

Akizungumza na MUZIKI BEGANI alisema amejipanga vilivyo kuhakikisha anawapatia muziki mzuri na burudani ya kutosha mashabiki wake nchini.

"Nimejipanga vizuri kuhakisha nateka soko la muziki nchini kwani muziki ni kitu nilichokuwa nakipenda tangu nilipokuwa nakua na nimeshajua namna ya kufanya kazi zitakazokonga nafsi za mashabiki wa muziki wangu nchini.

NEWS: NEW JOINT JOH MAKINI -XO

NEWS: NEW JOINT JOH MAKINI -XO


1
Joh Makini Toka WEUSI KAMPUNI ajiunga Rasmi www.mkito.com na ifikapo Alhamisi tarehe 11 Desemba hii ataachia rasmi Ngoma yake mpya kwa jina “XO” aliomshirikisha @gnakowarawara ikiwa ni HipHop category toka kwa Producer Sappy aliye Nchini Kenya,SIKILIZA KIONJO HAPA http://goo.gl/yaTCHG Official Video Release chini ya Director @nisherbybee itakuwa Tarehe za jirani hivyo huku Tukisubiri Mzigo Kamili, Follow @joh_makini Powered by @mkitodotcom @vmgafrica @defxtro Pakua Ngoma zote za Awali toka kwa Joh Makini aka Mwamba HAPA
2
Ommy Dimpoz - Tupogo Remix

Ommy Dimpoz - Tupogo Remix

Behind the scene: Video Ya Victoria Kimani Ft Diamond&Ommy Dimpoz - Prokoto


Uchukuaji wa video ya wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond.

Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco.