PRODUCER HEDY MO AWATAKA MASHABIKI WA MUZIKI NCHINI WAMPOKEE

Producer chipukizi anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini,Hemed Moshi maarufu kama Hedy Mo amewataka mashabiki wa muziki nchini kumpokea katika tasnia hiyo.

Akizungumza na MUZIKI BEGANI alisema amejipanga vilivyo kuhakikisha anawapatia muziki mzuri na burudani ya kutosha mashabiki wake nchini.

"Nimejipanga vizuri kuhakisha nateka soko la muziki nchini kwani muziki ni kitu nilichokuwa nakipenda tangu nilipokuwa nakua na nimeshajua namna ya kufanya kazi zitakazokonga nafsi za mashabiki wa muziki wangu nchini.