LINEX AKANA TUHUMA KUHUSU KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA NA KUGOMA KUJIBU SWALI HILO KWA WAANDISHI


Kwa mara ya kwanza Linex amejibu tuhuma zinazomkabili kuhusu utumiaji wake wa madawa ya kulevya aina ya "Bangi"
Linex ambae amekuwa akituhumiwa kwa muda mrefu kuhusu matumizi ya Bangi, lakini sasa mwenyewe amekanusha kuwa hajawahi kuvuta Bangi kabisa. Amesema, nanukuu,

"Kwa mara ya kwanza Leo nimegoma kujibu swali ambalo nimekua nikiulizwa Sana na vyombo vya habari ma swali lenyewe nikuhusi Mimi kujihusisha na matumizi ya uvutaji Bangi Leo nawabia watanzania na wasio watanzania Mimi sijawahi kua mvuta Bangi maisha yangu yote na Kama nna Vuta Mungu ananiona na ningekua mvuta bangi nisingekua na sababu ya kukataa wavuta bangi hamuwasemi hamuwaulizi swali hilo Mimi nisievuta ndo kila siku naulizwa hlo swali naridia tena Sijawahi kua mvuta Bangi sina ratiba ya kutumia dawa za aina yoyote ya kulevya Msinijudge kwa muonekano wangu hivi ndivyo nilivyo na siwezi kua MTU mwingine #Sunday Mangu"

0 Response to "LINEX AKANA TUHUMA KUHUSU KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA NA KUGOMA KUJIBU SWALI HILO KWA WAANDISHI"

Chapisha Maoni