Hii
ishara inaonesha kuwa hautakiwi kunywa pombe .. sasa huyu jamaa
anapata shida sana akitaka kunywa maji au chakula maana anatafuta
kanafasi kadogo ili kufanya hivyo.

Ni
alama ya tahadhali hii ni moja ya mamia ya watu ambao hawali nyama huko
Thailand , huyu anaamini kwa kujiweka mapaga makali na kujichoma hivi
itasaidia watu kuacha maovu kabisa na kuwapa amani mioyoni mwao

Huu
ni utalii kabisa ambapo watu wengi wanaenda kuutazama , ikiwa kama
kwetu pia likitokea kundi kama hili wanaokataa mambo maovu kwa mtindo
huu itakuwa ni sehemu nzuri ya utalii

Hebu mtazame kwa umakini huyu jamaa yeye amejichoma na sindano kibao hapa chukua muda wako uzihesabu

Huyu kasha kula sana vyuma

Hii ni sema hapana kuto kula nyama, kufanya mapenzi na kunywa pombe

Hii inamaanisha ni lazima kuangamiza maovu

Haya si mapambo lakini hawa wanakataa matendo ya ajabu ajabu

Sasa huyu ametobolewa na kuwekwa makamba mdomo mzima pia wanapigania kuacha na kutokomeza uhalifu

Hapa Jibu unalo

Hapa wanaaminini nkabisa kwa kufanya hivi wanasema hapana kabisa uhalifu kataa uhalifu ndio maana yake hapa

Sasa Tazama huu Mjambia hapa jamaa analamba hajali vipi anaumia lakini anamaanisha uhalifu basi

Tazama nanasi hizo zimepita katika waya ambao unasaidiwa na midomo yao ambauyo wamechomwa



0 Response to "TAZAMA MCHEZO HATARI KULIKO YOTE DUNIANI"
Chapisha Maoni