NEW RYLICS NA NGOMA YA JEFRYDER-MSALITI /DOWNLOAD&ENJOY

              
SONG:MSALITI
MSANII:JEFRYDER FT EM LEE
                 VERSE 1
Nakumbuka siku ya kwanza,ile nilipokutana nae,nikajiona nina bahati,kuwa na Yule nimpendaye,mara ring kwenye phone,magetoni nikonae,nikiwaza wapi pete,motto mzuri niko nae,kumbe bonge la Malaya,kwako dili pesa,na pesa nimesha mpesti,kama mage na darasa,matozi wameshasanda,wanapanga vya kupanga,japo ndugu wanashangazwa,anajiita edo kiford,kila kitu kwake free,ana mabwana zaidi ya 10,ving’asti kwa makundi,kwa maliza muuza duka,hata 1 kwake 0 vipedo,vya nusu tupu kama sanamu la sawa,pozi zake kama bundi,anang’aka kama paka,ukimgusa kwake swadakta,usiku silali,napiga simu hupokei,nawaza wap dram,kwa side kwangu hutokei,mara ajikoki kuwa photo,mabango ka mrisho mpoto
            VERSE 2
Bado sisiti kusema,kwa mengi uliyofanya,umenifanya niwe bwege,pumbavu nakosa heshima,cheki umenipa la ndugu,gonjwa la baba dengu,kitaani nakosa raha,japo ulifanya kwa siri,nishachoka dharau,daily pita na wake zao,nipe love nishakupa,moyo wangu hukuutaka,ukaniona takataka mbele za washika dau aaaaaaah,bora niseme,moyo wangu sio wa china,.
        Bridge
(Nishajutiaga mengi japo pesa kwangu msingi,
Ukita Tamba we tamba kitaani navuka boda) 2

0 Response to " NEW RYLICS NA NGOMA YA JEFRYDER-MSALITI /DOWNLOAD&ENJOY"

Chapisha Maoni