BEHIND THE SCENE:PICHAZ ZA FID Q NA YOUNG KILLER-VIDEO MPYA UMEBADILIKA


Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda aka Fid Q. Japo wawili hao hawajasema chochote kuhusiana na video hiyo, inaonekana kuwa inaongozwa na Nisher. Balaa linakuja!!

0 Response to "BEHIND THE SCENE:PICHAZ ZA FID Q NA YOUNG KILLER-VIDEO MPYA UMEBADILIKA "

Chapisha Maoni