Director Adamu Juma aja tena na timbwili lingine na Richard mavoko "Toto Nunda" Mwonekano Watofauti, Homa Nyingine {2014}

Wakati Video ya wimbo wa Pacha wangu ukiwa bado watu hawajachoka kuitazama video yake wakati wengine wakiwa wanatamani kuitazama kwa kusikia ubora na ubunifu uliotumika katika video hiyo Rich Mavoko anakuja na Video mpya "Toto Nunda".
Kupitia ukurasa wake wa Istagram Na Facebook Msanii Mavoko ameweka picha na maneno yanayotafsiri kuwa anakuja na ujio mwingine wa video "Kijana wenu kazini tena newVideo at the corner"Ameandika Rich Maoko.
Video hiyo inaonekana kuongozwa na mwongozaji wa video tanzania Adam Juma {NEXT LEVEL} aliyeongoza video ya Pacha Wangu iliyo kubalika sana na watanzania wengi, Kuipata video hiyo na Audio pindi vitakapokuwa tayari endele kutembelea ukurasa huu. 

0 Response to " "

Chapisha Maoni