BEHIND THE SCENES: PICHAZ NA MATUKIO KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA BUSHOKE NCHINI UG


IMG_2180 IMG_2181 IMG_2182 IMG_2183 IMG_2187
Mtu mzima Bushoke bado yuko pande za South Africa na hivi leo amenitumia picha za utengenezaji wa video yake nyingine akiwa na msanii kutoka Uganda anaitwa FACEE OFF. Bushoke anasema wimbo huo alioupa jina la SHE WANTS IT umeimbwa katika lugha 3 akimaanisha KISWAHILI, ENGLISH na KIGANDA, video imefanyika Capetown ndani ya location 3 tofauti na kampuni iliyoshoot video hiyo inaitwa DIRTY SOUL

0 Response to "BEHIND THE SCENES: PICHAZ NA MATUKIO KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA BUSHOKE NCHINI UG"

Chapisha Maoni