Sitti Mtemvu atisha redd's miss tanzania kifaransa kiingereza +kiswahili ndani duh atwaa taji kwa mbwembwe Na Kujinyakulia Mil.18 .Tazama picha na stori kamili


           
 Sitti Mtemvu toka kanda ya Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 usiku wa kumkia leo katika ukumbi wa Mimani City jijini Dar es salaam.
Kwa ushindi huo Sitti amejishindia shillingi mil.18 na kuipeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya Miss World 2015.

Nafasi ya pili ilichukuliwa na Lilian Kamazima wakati Jihan Dimachk aliyetarajiwa na wengi kuchukuwa taji akiambulia nafasi ya tatu. Nafasi ya nne ilienda kwa Dorice Mollel na Nasreen Abdul akishika nafasi ya tano.

0 Response to "Sitti Mtemvu atisha redd's miss tanzania kifaransa kiingereza +kiswahili ndani duh atwaa taji kwa mbwembwe Na Kujinyakulia Mil.18 .Tazama picha na stori kamili "

Chapisha Maoni