Tazama bata la Diamond na Zari walivyoenjoy weekend ya Valentine Zanzibar.

D1Mapenzi yao ni wazi sasa hivi na headlines zao ni za kutosha kwenye mitandao ya kijamii ambapo nyingine mpya ni hii ya wawili hawa kwenda Zanzibar kuenjoy weekend ya Valentine.
Diamond aliandika kuhusu Zari >>> ‘Alisema hajawahi kufika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yetu’

d2
d3