Mkasi | S11E08 With Ben Pol - Extended Version

Bernard Michael Paul Mnyang'nga, au BEN POL kwa wengi wenu ni mmoja kati ya wana R&B wa kitanzania mwenye sauti ya Kipekee! Mmemsikia hivi karibuni katika nyimbo kama Unanichora na mpya kabisa ya Sophia, lakini Ben Pol ana nyimbo nyingi ambazo zimemfanya asimame kipekee kama "male vocalist" wa aina yake Tanzania.