WIMBO MPYA WA JUX - NIKUITE NANI


Baada ya "SISIKII" Kufanya vizuri Audio na Video sasa kwa mara nyengine tena Jux anawaletea wimbo mwengine mpya ambao ameutambulisha kwa jina la "NIKUITE NANI?".
Wimbo huu utaanza kupatikana rasmi tarehe 18.02.2015 hapa hapa www.muzikibegani.blogspot.com