PHOTO’S: The Making of music video SALIMA by LINEX ft DIAMOND


1
Hii itakuwa video yake ya kwanza kutoka kwa mwaka huu 2015, inatambulika kwa jina la SALIMA imeimbwa na LINEX pamoja na DIAMOND. Ni video flani hivi iliyoshutiwa pande za vijijini chini ya Dir Adam Juma (AJ) kutoka Visual Lab Next Level.
2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21
PICHA HIZI NI KUTOKA http://www.harakatizabongo.com