PICHA YA NYOTA NDOGO YAZUA BALAA MITAANI:ITAZAME


Nyota Ndogo's  picture that creating furore on social media. PHOTO | COURTESY


kitendo cha msaanii maarufu nchini kenya maarufu kama nyota ndigo kuposti picha ambayo ameshika bastola katika mitndao ya kijamii kimezua gumzo mtaani.
hii si busara kwa watu maarufu kufanya hivyo kitendo hicho kinawashusha hadhi na kupotosha jamii.