Picha za mazishi ya mke wa JOHN KITIME kwenye makaburi ya Kinondoni ziko hapa


DSC_0075
Pichani ni Dada Nyota Waziri akimfariji Bw. John Kitime mara baada ya mazishi ya mkewe kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
DSC_0078
Pichani kulia ni Anko Kidevu akimfariji rafiki yake Bw. John Kitime.

DSC_0091
Baadhi ya Wanachama wa TBN waliowakilisha kwenye mazishi ya mke wa mwanachama mwenzao,Bw. John Kitime kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam leo.kutoka kulia ni Cathbert Kajuna, Mkala Fundikira, Jennifer Livgha a.k.a ChingaOne, Ahman na Othman Michuzi pamoja na Muhidin Sufiani.
FILE0057
Umati wa waombolezaji ulioshiriki kwenye mazishi ya Mke wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Bw. John Kitime,Marehemu Janeth Joan Chidosa Kitime alizikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam.
FILE0059 FILE0081 FILE0088 IMG_20150216_153949 IMG_20150216_153953
Watoto wa Marehemu wakielekea kuweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yao.
Habari hii kwa hisani ya http://othmanmichuzi.blogspot.com/