Picha ziko hapa zikimwonyesha PROF JAY (@ProfessorJayTz) akifungua matawi mapya ya CHADEMA pale MIKUMI Morogoro


6267_10152822675302558_6824081874573005729_n 1479504_10152822682342558_1596002758064954380_n
Ilikuwa jana wakati msanii nguli wa Bongo Fleva Joseph Haule (Prof Jay) wakati akifungua matawi mapya na kuhamasisha wananchi wakijiandikisha kwenye daftari la makazi na kisha kuitumia vema HAKI yao ya kupiga KURA na kuwachagua viongozi wao kwa maendeleo yao!