BET kuonekana live kuanzia april 2



Viacom International Media Networks (VIMN) Africa ikishirikiana na MultiChoice Africa watazindua channel mpya ya BET kwajili ya Afrika.


BET ya Afrika itaanza kuonekekana live April,2 2015 saa 17:20 CAT/16:20 WAT,kupitia DSTV Premium, channel 129 huku Channel ya siku zote ya BET2 (zamani BET), itaonekana kupitia DSTV channel 135 na GOtv channel 23.

Channel hiyo mpya itakayokuwa ikionekana saa 24 itakuwa na vipindi vilivyoandaliwa Afrika pamoja na kimataifa, ikiwa ni pamoja na drama, family-friendly sitcoms, stand-up comedy, documentaries, talk shows, awards specials, reality series, gospel music, na mengine.

Source: MTV Base