pichaz Behind the scenes ya Iyanya na Diamond Platnumz wakishoot video Nigeria hizi hapa..

set1Baada ya kuachiwa audio ya collabo mpya ya Iyanya aliyomshirikisha Diamond Platnumz, kwa sasa ‘Nakupenda‘ imewakutanisha mastar hao Nigeria wakiwa kwenye mchakato mzima wa kuandaa video ya wimbo huo.
Director wa video ni Patrick Ellis, ujumbe wa Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram aliandika hivi; “Hufai eti, wansema Unavuaga tu Sketi….. Na Ntaregret we Shuka Mwenzako Blangeti….!!!!!! Onset!!#NAKUPENDA @iyanya ft your Boy!” @
dmd
iyanya3
iyanya1 iyanya2