Kim Kardashian ashangaza watu baada ya kupost kuwa nanafanya mapenzi mara 500 kwa siku

Video hiyo inayorushwa kwenye kituo cha TV cha E!, Kardashian anasema: I’ve been having sex 500 times a day.”

Kauli hiyo ilionesha kumshtua mdogo wake Khole.Msimu huo utaanza kuoyeshwa Jumapili Marck 15.

Kim na Kanye wamekiri kuwa katika jitihada za kutafuta mtoto wa pili