Home » Uncategories » HATAREEEE :Pichaz- kutoka kwenye show ya Ali Kiba Arusha #Cheke tour.
HATAREEEE :Pichaz- kutoka kwenye show ya Ali Kiba Arusha #Cheke tour.
Usiku
wa March 07 ilikua ni zamu ya mkoa waArusha nao kufikiwa na ile tour ya
Ali Kiba inayoitwa Chekecha Cheke tour,hii ilikua ndani ya viunga vya
Triple A,kama ilivyokuwa kwa Moshi Ali Kiba pia usiku huo.
Leo
March 08 Ali Kiba ataimalizia kanda ya kaskazini kwa show kwenye mpaka
Tanzania na Kenya sehemu inaitwa Namanga,hizi ni baadhi ya picha.