JE UNAWAKUMBUKA "WAKACHA" HII NI HISTORIA YA KILA MEMBER KWA UFUPI AKIWEMO JUX,KAMIKAZE NA GIGGA FLOW

 



WAKACHA ilianzishwa na msanii  Cyrill Kamikaze ambaye alikuwa raisi wa kundi hilo lililokuwa linaloundwa na wasanii wakiwemo  Jux Vuitton and Gigga Flow.
 http://1.bp.blogspot.com/-9Z0Pztf7s3s/U_wfmanCPyI/AAAAAAAAFnc/9GpZ6M00KpI/s1600/alowaa%2B(1).jpg

CYRILL KAMIKAZE ni msanii wa tanzania katika kundi hilo aliyezaliwa mkoani SINGIDA na aishiye dar es salaam kwa sasa kutokana na kazi yake ya muziki
ELIMU
  •  (USTAWI) 
  • Institute of Finance Management (IFM)
  • The Tanzania Institute of Accountancy (TIA)
  • High school In Uganda at Uganda Martyrs High School



JUX VUITTON ni msanii wa RNB nchini, alizaliwa mwaka 1988 na amesoma

  • China College
  • St. Marry's Primary School

GIGGA FLO ni msanii wa bongo fleva  ambaye anaunda kundi hilo na anaishi dar es salaam na amesoma elimu ya sekondari katika shule ya same high school