LIST YA MASTAA10 WA NIGERIA AMBAO WANA MTONYO WA KUFA MTU NA BADO HAWAJAOA DON JAZZY, DAVIDO, NNAJ WAMO


Dbanj-New

DON JAZZY

       Jazzy mwenye miaka 33 ni kiongozi  wa kundi la muziki  ambalo ni  famous  sana hapa  barani afrika la MAVINS na pia ni moja wa ma  PRODUCERS wakubwa sana hapa  barani afrika lakini bado  yupo  single nna anamtafuta wa ubavu wake
(Don Jazzy. Photo: Mavin)
D'BANJ


   d'banj
    Bossi wa  DB records  ni moja ya ma bachelor  ambao ni maarufu sana barani afrika kwani mbali ya kuwa na umri wa miaka  18 mpaka  hivi sasa bado amekuwa na mahusiano  ambayo bado hayana  msingi  naweza  kuyafananisha na yale   ya  bongo muvi

GENEVIEV NNAJI
   Genevieve-nnaji-eid-mubarak-yabaleftonlineblog
  nmbali ya kuwa  staa ni mama wa mtoto mmoja wa miaka  15 na mpaka   hivi sasa  amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na   baadhi ya mastaa akiwemo D'banj ambaye  hivi karibuni walihusishwa  kuwa  wapenzi lakini bado hajaolewa.

WIZKID
  wizkid
   staa  huyo  ambaye  pia ni heatmaker wa  show me   your money mpaka  hivi sasa ana mtoto mmoja na  anasemekana kuwa ana mpango wa  kuvuta jiko hivi karibuni

DAVIDO
 Davido. Photo: Instagram
    ni kijana mdogo maarufu ambaye  amekuwa akipendwa sana na watoto  wa kike kiutokana na   aina ya muziki  anaoufanya lakini mbali  ya pia  kuwa amenyakuwa  tuzo nyingi bado    yupo yupo  kwanza


BANK W
Banky W
    boss  huyo wa  E.M.E record mbali ya kuwa na fununu mbali mbali kuwa anatarajia  kufunga ndoa na msanii mwenzake  kutoka  record lebo moja  Niyola   siku ya  harusi  yao ndo  kitu  watu wengi wanachikingojea


RITTA DOMINIC
    rita dominic
   alimaliza  bachelor ya theatre  art mwaka  1999 ana umri zaidi  ya miaka  40 na mpaka  hivi sasa ni single. pia mwigizaji  huyo  ambaye amefanya kazi   nyingi  na kujizolea umaarufu  huko nollywood   ameshaigiza zaidi ya muvi  40 za kwake peke  yake

 RUGGEDMAN
  Ruggedman. Photo: Filed
     kam ilivyo kawaida ya marapa   ewngi huwa na kaweaisda ya kuqwa   single  kwa   muda mrefu   rappa   huyon    wa  nigeria mbali pia ya   kuwa na umri wa  miaka    39 bado ni    single


MI
M.I
  short black  boy MI   ni moja  ya  marapa wa nigeria ambaye   ni   single

JIM IKYE
   Jim Iyke staa   huyo   wa  nolywood   ambaye  alikuwa na  ndoto  za  kufunga ndoa  na   staa mwenzake  kutoka   nchini ghana NADIA na  kutoswa  baada  nadia  kugoma kuwa  IKYE siye   twin  wake